No title

0


MAANDALIZI YA UFUNDISHAJI. (By SWAHIBU HASANI

     MAANDALIZI YA UFUNDISHAJI Kabla ya kufundisha unahitaji maandalizi ya kutosha, Ipo miongozo maalumu iliyoandaliwa ya kutuongoza kutengeneza azimio la kazi na andalio la somo la Kiswahili kwa shule za msingi. Mitazamo hii inabadilika kutokana na nadharia na mahitaji ya elimu nchini. Katika kipindi hiki cha mabadiliko ya mtazamo wa ufundishaji, mkazo umekuwa kwenye ujenzi wa maana hivyo msisitizo umekuwa kwenye kujenga ujuzi.

AZIMIO LA KAZI
Ni mpangilio au utaratibu unaomwezesha mwalimu kuchanganua muhtasari wa somo na kupanga mada na jinsi atakavyozifundisha katika kipindi cha wiki , mwezi, na muhula
.Ni mpango wa ufundishaji kwa kipindi fulani. Umuhimu wa azimio la kazi Humsaidia mwalimu kwenda na mtiririko mzuri wa mada. Humwonyesha mwalimu muda wa kufundisha kila mada. Huonyesha zana/vifaa/njia ya kumsaidia mwalimu katika ufundishaji wake. Kuonyesha malengo ya ufundishaji wa somo hilo katika muda aliopanga. Wakati wa kuandaa andalio la somo kuna mambo ambayo yanatakiwa kuzingatiwa, Kuangalia kalenda au ratiba ya shule ambayo itakuongoza katika kuandaa azimio lako la kazi kwa kigezo cha muda. Kusoma kwa makini muhtasari wa somo la kiswahili na kuweza kubaini mada, malengo , zana, na ujuzi ambao utatakiwa wanafunzi wako waupate katika mada husika. Kuhakikisha kwamba vifaa vya muhtasari, vipo na vinatosheleza mfano, vitabu vya kiada, vitabu vya ziada, kiongozi cha mwalimu, kitabu cha mwalimu, na kitabu cha mwanafunzi. VIPENGELE VYA AZIMIO LA KAZI Ujuzi ni uwezo wa kufikiri, na kutenda anaoyarajiwa aujenge mwanafunzi kwa kupitia mada/maudhui kwa ushirikiano wa mwalimu na mwanafunzi, mwanafunzi na mwalimu, mwanafunzi na mazingira yake. Katika kusoma ujuzi uliopo katika muhtasari wa somo la kiswahili , inakupasa kujua ujuzi ni upi, na maudhui ni yapi, kwani ujuzi huohuo huweza kujengwa na maudhui mengine. Ujuzi hujengwa kwa vitendo vinavyojitokeza katika malengo mahsusi. Vitendo vya malengo mahsusi ndivyo vinavyoleta matokeo ya ufundishaji na ujifunzaji ambao ni ujuzi. Malengo mahsusi lengo ni lazima libebe kitendo kitakachowezesha ujuzi kutokea. Mada ndogo inaweza ikawa na malengo mengi yakibeba vitendo mbalimbali vitakavyotumika kujenga ujuzi. Katika kuunda malengo ni vizuri ukazingatia vitendo vya kiwango cha juu vya kufikiri na kutenda kama , kueleza,kuchambua, kuunda,kuchanganua, kutofautisha, kutathmini, kubuni , kubainisha,kuhusianisha n.k. Viwango vya chini vya kufikiri na kutenda ni kutaja,kuorothesha,kuonyesha n.k kwa hiyo kazi ya mwalimu ni kumsaidia mwanafunzi kuinua kiwango chake cha kuunda vigezo vya kufikiri na kutenda. Sifa za malengo mahsusi : –

Ni lazima libebe kitendo kinachopimika wakati unapofundisha.

Malengo yahusiane na kiwango cha uwezo wa mwanafunzi.
– Muda wa malengo utajwe waziwazi – Kiwango cha kufikia kila lengo kiwezeshwe. – Kipindi kimoja kisiwe na malengo mengi. Mwezi na Wiki Katika kugawa muda unatakiwa kuzingatia idadi ya vitendo vitakavyofanyika ili mwanafunzi ajenge ujuzi. Kuna baadhi ya vitendo vinahitaji muda mrefu na vingine vinahitaji muda mfupi kukamilika. Vipindi Idadi ya vipindi itazingatia na uzito na wigi wa vitendo katika mada husika. Jiulize vitendo vya kiwango cha juu vina uzito sawa na vitendo vya kuchunguza? Katika muhtasari umepewa muda wa idadi ya ya jumla ya vipindi kwa mada kuu, hakikisha kuwa umevigawa kwa uwiano sawa kulingana na vitendo. Vitendo vya Ufundishaji Kumbuka unapoandika vitendo vya ujifunzaji wewe ni mwezeshaji/wewe ni msaada kwa mwanafunzi wako katika utendaji wake. Katika kuandika vitendo nya ufundishaji unatakiwa kuonyesha yale matendo yote utakayoyafanya mwalimu pamoja na mifano katika uwezeshaji wako. Vitendo vya ujifunzaji Unapoandika vitendo vya ujifunzaji unatakiwa uvichukue ndivyo vitendo vya msingi vitakavyoleta kujengwa ujuzi. Lugha itakayotumika ionyeshe kuwa mtendaji mkuu ni mwanafunzi. Mfano Wanafunzi, kuchora, kueleza,Kujibu maswali ya mwalimu, kujadiliana,kutafsiri,kueleza, kusoma, kujadili, kufupisha n.k Vifaa/zana Matumizi ya zana katika kujifunzia na kufundishia ni nyenzo muhimu sana kwa sababu inatumika katika ujenzi wa maana kwa kile mwanafunzi atakachojifunza. Vilevile zana humsaidia mwalimu katika kumrahisishia kazi yake ya kufundisha. Rejea, Mwalimu atapaswa kuonesha vitabu vya rejea katika mada atakayoifundisha, Kumbuka rejea siyo vitabu tu, bali inahusisha vitu vingine kama majarida, magazeti,vipeperushi, vipindi vya redio, kanda za video, chati na makala mbalimbali na intaneti. Upimaji, katika upimaji tunaangalia ufanisi wa ujifunzaji na ufundishaji uliofanyika katika malengo mahsusi. Upimaji huu unahusu vitendo hivyo vimefanyika kwa kiasi gani kuleta ujuzi. Mfano, mwalimu anaangalia ni jinsi gani vitendo vya ufundishaji na ujifunzaji vimefanikiwa. Maoni, Inahusu hatua au ushauri utakaouchukua baada ya kufanya upimaji. Mfano wa muundo wa azimio la kazi Jina la mwalimu :………………. Mwaka:……………………….. Shule: …………….. Muhula:………………………… Somo: ……………… Darasa:…………………………….. Ujuzi Malengo mwezi wiki Mada kuu Mada ndogo vipindi v/ufundishaji v/ufundishaji vifaa/zana rejea Upimaji maoni Andalio la somo: Ni utaratibu au mpangilio wa hatua za kufundishia unaotayarishwa na mwalimu kwa kipindi husika kwa darasa fulani./ ni dira ya kumwongoza mwalimu wakati wa kufundisha. Umuhimu wa andalio la somo. Huonyesha wazi malengo ambayo mwalimu anatarajia yafikiwe na mwanafunziwake wakati wa kipindi. Humwongoza mwakimu kufundisha kwa hatua anapokuwa darasani. Humwonyeshab mwalimu vitendo vya kufanya wakati wa ujifunzaji na ufundishaji. Vipengele vya andalio la somo Chati itakayoonyesha taarifa za awali , Tarehe, darasa, kipindi/somo, muda,idadi ya wanafunzi waliopo na wasiopo. Ujuzi : ni uwezo wa kufikiri, na kutenda anaoyarajiwa aujenge mwanafunzi kwa kupitia mada/maudhui kwa ushirikiano wa mwalimu na mwanafunzi, mwanafunzi na mwalimu, mwanafunzi na mazingira yake. Ujuzi hujengwa kwa vitendo vinavyojitokeza katika malengo mahsusi. Vitendo vya malengo mahsusi ndivyo vinavyoleta matokeo ya ufundishaji na ujifunzaji ambao ni ujuzi. Mada na mada mada ndogo : Hizi ni mada kuu na mada ndogo ambazo zimeonyeshwa kwenye muhtasati wa somo. Lengo kuu: Ni lengo la jumla ambalo mwalimu anatarajia wanafunzi wake kulifikia katika ufundishajina ujifunzaji. Malengo mahsusi: lengo ni lazima libebe kitendo kitakachowezesha ujuzi kutokea. Mada ndogo inaweza ikawa na malengo mengi yakibeba vitendo mbalimbali vitakavyotumika kujenga ujuzi. Katika kuunda malengo ni vizuri ukazingatia vitendo vya kiwango cha juu vya kufikiri na kutenda kama , kueleza,kuchambua, kuunda,kuchanganua, kutofautisha, kutathmini, kubuni , kubainisha,kuhusianisha n.k. Viwango vya chini vya kufikiri na kutenda ni kutaja,kuorothesha,kuonyesha n.k kwa hiyo kazi ya mwalimu ni kumsaidia mwanafunzi kuinua kiwango chake cha kuunda vigezo vya kufikiri na kutenda. Jedwali linaonyesha hatua za ufundishaji. – utangulizi: Utangulizi ndio hatua ya kwanza ya somo, mada unayotaka kufundisha haipo mbali sana na maisha ya mwanafunzi, ni vema kama mwalimu ukaanza mada yako kwa kutafuta maarifa ya awali aliyonayo mwanafunzi. Ni vema kufahamu wanafunzi wana maarifa na uzoefu gani kuhusu kile utakachokwenda kukifundisha.Lengo ni kuanza kwa kile wanachokifahamu wanafunzi kisha kuelekea kile kipya, Kwa hiyo kile kile wanachokifahamu kitakuwa ni msingi mzuri ambao kile kipya watakachojifunza kitaleta ujuzi. Mfano unaweza ukatumia njia ya bungua bongo, maswali na majibu au changanya kete kutafuta maarifa ya awali kwa mwanafunzi. – Ujuzi mpya: Katika hatua hii Mwalimu anahitaji kufikiri kwa kina kuhusu stadi na maarifa atakayotumia mwanafunzi katika kujenga ujuzi unaotarajiwa. i.e Kuwaongoza wanafunzi kufanya vitendo mbalimbali vilivyopo kwenye vitendo vya ujifunzaji ili kuweza kujenga maarifa mapya. -Kuimarisha maarifa: Katika hatua hii inampasa mwalimu kuwashirikisha wanafunzi katika kuunganisha maarifa waliyojifunza ili kuwe na mshikamano wa dhana husika. – Tafakuri : Mwalimu uwaongoze wanafunzi wako kutafakari jinsi maarifa waliojifunza yanavyohusiana na maisha yao na ujuzi wanaotarajiwa kuujenga. Vilevile kupima ufanisi au udhaifu wa ujifunzaji na ufundishaji. -Hitimisho: Mwalimu tafuta njia mbalimbali za kuhitimisha somo lako, mfano kutumia maswali yanayohitaji majibu mafupimafuipi kwa kile walichojifunza, kumhitaji kila mwanafunzi kubainisha dhana muhimu alizojifunza. – Vitendo vya upimaji, Ni tendo linalifanyika mfululizo toka mwanzo hadi mwisho wa somo. Ni ukweli kwamba utakuwa umeandaa vitendo vya kupima kila hatua ya mada yako. Lakini kuna uwezekano wa kubadili vitendo vya upimaji kulingana na jinsi somo linavyoendelea. -Tathmini: Tathmini inahusu ufanisi wa somo unaotokana na matokeo ya vitendo vya upimaji katika mfululizo wa hatua nzote za somo. Tathmini ya mwanafunzi inatoa picha ya ufanisi wa vitendo vya ujifunzaji Mfano mwalimu anaweza kuwauliza wanafunzi maswali yafuatayo , ni mambo gani mmeyapenda katika hii mada, mambo gani hamkuyapenda, na uwaagize watoe sababu kwa majibu waliyoyatoa, mnahitaji msaada gani ili muelewe zaidi? Au wagawie vikaratasi waandike maoni yao kuhusu mada iliyofundishwa na tathmini ya mwalimu inatoa picha ya ufanisi wa vitendo vya ufundishaji, Tafakari ya matokeo ya upimaji uliofanya katika hatua zote za somo na matokeo ya tathmini ya mwanafunzi. -Maoni: Maoni yanatolewa baada ya tathmini, Mwalimu atabainisha mambo yatakayowezesha kuboresha ujifunzaji wa somo. Mfano, kwa wale ambao hawakuweza kufikia ujuzi uliotarajiwa utatumia mbinu gani kuwasaidia, au maoni /ushauri kuhusu namna ya kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wako. Muundo wa andalio la somo. TAREHE DARASA KIPINDI MUDA IDADI YA WANAFUNZI IDADI YA WANAFUNZI IDADIWALIOHUDHURIA IDADI YA WALIOANDIKISHWA ME KE JML ME KE JML Ujuzi………………………… Mada kuu……………………………………… Mada ndogo………………………………….. Lengo kuu………………………………………. Lengo mahsusi…………………………….. Zana/vifaa:………………………………………….. Rejea:……………………………………………. Hatua za somo Tarehe Vitendo vya ufundishaji Vitendo ufundishaji Vitendo ujifunzaji utangulizi Ujuzi mpya Kuimarisha maarifa Tafakuri Hitimisho Tathmini ta wanafunzi………………………………………….. Tathmini ya mwalimu……………………………………………. Maoni……………………………………………………………… KUMBUKUMBU ZA SOMO/SHAJARA LA SOMO. Ni muhtasari unaotayarishwa na mwalimu wa somo kuonyesha mada kuu na mada ndogo alizofundisha,wakati alipofundisha, na jina au sahihi yake. Pamoja na kumbukumbu hii, mwalimu ana kumbukumbu zingine zinazotumika kama rejea za kazi alizofanya. Mfano nukuu za somo, andalio la somo, azimio la kazi. Umuhimu wa kumbukumbu za somo. Huonyesha mambo yaliyofundishwa na wakati yalipofundishwa. Mwalimu huweza kupima kiasi cha mada alizokwisha kufundisha kwa kulinganisha na azimio la kazi. Humwelekeza mwalimu mpya mahali pa kuanzia. Huweza kupima muda uliotumika katika ufundishaji wa mada ukilinganisha na azimio la kazi. MUUNDO WA SHAJARA LA SOMO MWEZI Wiki MADA KUU MADA NDOGO TAREHE KUANZA TAREHE KUMALIZA MADA ZILIZOFUNDISHWA SAHIHI NA MAONI YA MWALIMU WA SOMO SAHIHI NA MAONI YA MKUU WA IDARA. SAHIIHI NA MAONI YA MKUU WA SHULE Jan 1,2 Fasihi Fasihi simulizi 1/1/2012 15/1/2012 -maana ya fasihi -dhima ya fasihi simulizi – vipengele vya fasihi simulizi Upendos’ property. Share this: TwitterFacebook15 Leave a Reply Your email address will not be published. Required fields are marked * Comment Name * Email * Website Notify me of new comments via email. Maburugi on June 10, 2012 at 1:33 am A’m appliciate u’a work. Reply jordan ngonyani on February 16, 2014 at 8:59 pm am very interested with your work   2012 at 4:27 pm AKSANTE NIMEJIFUNZA KITU MUHIMU SANA KATIKA CHAPISHO HILI, PIGA KAZI MAMA Reply Tom Muga on June 14, 2012 at 4:46 am Ahsante sana kwa kazi nzuri Reply Yusuph Hussein on September 5, 2012 at 3:21 pm Ama hakika wewe ni mkombozi wa taaluma hii ya ualimu hongera zako mpendwa! Reply Pastory joseph on August 7, 2013 at 2:54 pm Safi sana hata mi nawakubali kwa kutuongezea maarifa walimu tarajali Reply Makajula on September 17, 2012 at 1:21 pm Kazi unayofanya ni kubwa sana hongera Reply Erick Shirima on September 18, 2012 at 9:03 pm NIMEAMINI UALIMU NI ZAIDI YA KUSHIKA CHAKI NA KUINGIA DARASANI ENDAPO UTAFUATA HATUA STAHIKI Reply happyness mshanga on November 10, 2012 at 3:15 pm mi cna cha kusema zaidi ya kushkuru mwalim Reply SHABANI MKANDAWILE on November 12, 2012 at 9:06 pm ASANTE MTAALAMU WANGU WAKISWAHILI NIMEKUPATA VILVYO KATIKA HII MADA Reply Godluv Mtega on November 13, 2012 at 9:13 am asante sana kwa kunipa muongozo huu.mungu akubariki Reply moureene nyaranga on November 26, 2012 at 11:51 am nimeshukuru kwa mwongozo wenu tuzidi kueneza lugha ya kiswahili Reply yeho kalulu on December 30, 2012 at 11:44 pm safi sana mwalimu nmeona kaz yako, kwan imensaidia ktk assignments zangu. Ubarikiwe sana!! Reply Watson michael on January 16, 2013 at 9:25 am Thanx kwa mwongozo wako na mungu akubariki Reply Royheri Philipo on January 27, 2013 at 10:05 pm hongera sana,nimependezwa Reply malaika joseph tarime ttc on February 7, 2013 at 2:42 pm Thank you our brother fo giving us a lot of notes especially ualimu Reply Mapunda on March 2, 2013 at 9:25 pm Hongera Reply ABDULLATIFU KAMOTE on March 24, 2013 at 2:15 pm ASANTE SANA, NMEJIONGEZEA MAARIFA KUPITIA KWAKO , ENDELEA KUTOA VITU VIZURI Reply Makindi Sogone on April 1, 2013 at 11:54 am Km ungekuwa msanii ungekuwa Justine Bierber, km ungekuwa mchezaji ungekuwa Messi, ila kwavile ni mdau wa taaluma ww ni karama za mwl. Nyerere na mwl. Achebe. Hongera sana kwa kazi nzuri uliyoifanya, nakutakia kila la kheri. Reply zakaria samwell on May 9, 2014 at 9:26 pm poa 2 yote maisha Reply jones justinian on April 5, 2013 at 11:22 am nashukuru kwa mchango wenu wa kuendelea kuelimisha jamii,kupitia vitbu na majarida yenu mbalimbali muyatowayo,thanks a lot. Reply mbasyoula amos on March 14, 2014 at 10:44 pm thanks kaka u do da good work take it on\ Reply Ben masilingi on May 6, 2013 at 2:42 pm Da! Tunashukuru kwa kutusaidia mambo muhimu yanayohitajika katika tathinia hii ya ualimu endeleeni kutupa mambo ili tuwe walimu bora na sio bora walimu Reply Philipo kaswa on May 9, 2013 at 5:17 pm Dar! Kumbe kun v2 vya muhimu vle! Thanks kwa kaz yako nzur. “tathimn ya mwanafunz:somo limeeleweka! Reply ELIFURAHA YESAYA MAY 26,2013 on May 26, 2013 at 8:41 pm MUNGU, mwenyezi akujalie baraka nyingi kwa kuwezesha somo la kiswahili kusonga mbele Reply PIUS M KALIMSENGA on May 27, 2013 at 10:22 am NATAMANI WALIMU WANGU WOTE WA SHULE ZOTE ZA MSINGI ARUSHA NA KIBAHA WANGESOMA CHAPISHO HILI, UNASTAHILI PONGEZI. Reply leonard vicent on November 18, 2013 at 5:17 am thanks very much Reply Teodory mwasimba on June 2, 2013 at 7:30 pm …asante! Umeukuza weledi wangu hasa ukizingatia kwamba kuwekuwa na changamoto ktk ufundshaj.. Reply Elibariki A Gejeje on June 18, 2013 at 9:45 am KWELI WEWE UNASAIDIA SANA na tunashukuru sana endelea hivyohivyo Reply mongi sia on July 4, 2013 at 5:20 pm hongera kaka umenisaidia sana hasa katika kuelewa mbinu za kufundishia. big up keep on! Reply ELISHA B SWALLEH on July 24, 2013 at 5:35 pm Thanks a lot my brother for your deeply notes about maandalizi ya ufundishaji.By kafura el sharaywn swalleh Reply justus biwot on July 28, 2013 at 9:37 pm Asante sana mkereketwa.Umenifaa mimi na wengine wengi,baraka tele kwako. Reply Mwalimu Haruni Maphie on August 6, 2013 at 10:03 am You did a great job, old it on Reply Pastory joseph on August 7, 2013 at 2:56 pm Asante sana kwa kutuongezea maarifa walimu tarajali Reply Tito mgesi on August 22, 2013 at 12:19 pm Hongera kwa kazi nzuri hakika umenielimisha sana!! Reply majuto luvanga on August 28, 2013 at 3:09 am Upo juu kama ulinzi wa Obama kaza buti taaluma ya ualimu isonge mbele Reply Peter musiba on August 30, 2013 at 4:06 am Its so good. Reply elineema emilian on September 8, 2013 at 11:35 pm ASANTE SANA Reply Jackson Munisi on September 11, 2013 at 4:52 pm Hongera Reply makurulumawa on December 16, 2013 at 7:06 pm Jaman madude kila kona, now kazi kwako ww mwlmu tarjar!! thax alot my dear teacher kwa ku2tafnia hvyo wlmu tarajar!! Reply Aiwinia makundi on September 18, 2013 at 12:25 pm wataalamu hawa tunawahitaji ktk dunia ya leo Reply Joachim Danny on October 15, 2013 at 11:03 pm THANX A LOT!! Reply Fedimeli kimata on October 16, 2013 at 10:28 am Ndio mana tunasema mliobaki kufanya ualimu kuwa ni wito ni ninyi tu, kaza mwendo dhawabu utapata kwa Mungu Asahnte ni mengi nimejifunza Reply KULWA JOSEPH Mwanachuo mwaka wa pili chuo cha ualimu MHONDA on October 19, 2013 at 10:09 pm Nimekubali nimdpata kitu hapa, ongeza bidii wadau wako tuko wengi naamini juhudi hizi ualimu tutaweza Reply Arespicius Augusto on October 24, 2013 at 12:05 pm Ni vizur umenipatia ujuzi mzur wa kutosha Reply Tumaini mwankenja on October 30, 2013 at 1:53 pm Kazi nzur sana nimejifunza mengi pia nimeelewa kwa sana,kazi nzuri Reply elisha mussa on November 6, 2013 at 5:00 pm ahsante xana upendo, endelea na moyo huu mungu atakubariki Reply Wewe Noma Mimepata Maarifa Mengi Sana Kumbe Wlmu Easy By Kelvin Mlula Pa1 Xana on November 20, 2013 at 8:18 pm Tcher we2 noma nime gain k2 Reply jackson munisi on November 27, 2013 at 3:53 pm yap iko poa xana Reply Elia Samwel BUSTANI TC on November 28, 2013 at 2:26 pm Shukran, tcha! endelea kutuelimisha Reply mbozyo mpoli on November 30, 2013 at 10:54 am nashukuru sana kwani unatukomboa wengi Reply ibrahim mathias on December 6, 2013 at 12:25 pm nzuri na Mungu akupe na maarifa mengine zaidi , ubarikiwe katika jina la yesu kristo. Reply Phillip Herman on December 7, 2013 at 11:50 pm Pomoja sana waandaj wa kaz hyo. SINGACHINI TC JUU Reply kelvin on December 10, 2013 at 10:51 pm Sante Reply Isaya Aron on December 15, 2013 at 10:17 pm Inapendeza kwan unatupa changamoto sana ss wanavyuo,tumeweza kujfunza mambo meng! Reply makurulumawa on December 16, 2013 at 7:02 pm Thax!!! Reply tupendane mtela on January 7, 2014 at 5:05 am hongera chapisho la ukweli Reply Henry on January 7, 2014 at 11:41 pm Kazi nzuri sana. Ahsante. Reply saston dismas on January 8, 2014 at 9:19 pm tunajifmnza mengi kuptia ww endelea na kazi zako ahsante Reply Twaha Tajiri on January 16, 2014 at 8:54 pm mungu akulipe kwa hili coz ni wengi wanaofaidika, Reply Kiondo Semnkai on January 17, 2014 at 12:11 pm ubarikiwe Reply Ludovick Msoma on January 22, 2014 at 1:18 pm Thanks madam for helping us GOD BE WITH U ALWAYS,am from SINGACHINI TC Reply Oscar msacky on January 26, 2014 at 2:55 pm Kitu cha msingi sana mlichokifanya big up kwenu!!!!! Reply Saidy Zaharani on February 1, 2014 at 7:58 pm Ahsante kwa kutuongezea maarifa sisi walimu tarajali. Kazi nzuri. Reply Juaely Msangi on February 7, 2014 at 2:00 pm kiukweli broooo unatusaidia sana blog hii kila mwanachuo naitumia tunaomba ss kama umoja wa wanachuo kinampanda utuwekee na nukuu za tathimini na utafiti Reply PAUL MARKO on February 13, 2014 at 7:32 pm Nzuri sana Reply Imani Mwanyingi on February 13, 2014 at 11:21 pm Pamoja sana mtaalamu! nimeipenda! Reply Lackson wiliam on February 20, 2014 at 3:58 pm Hatimaye sasa ntakua mwalimu bora.mungu akubariki sana. Reply PETER HALINGA on March 1, 2014 at 2:06 pm ASANTE KWAN NIMEJIFUNZA MENG, ENDELEA HIVYO! Reply Annet.N on March 2, 2014 at 2:03 pm Asante sana kwa kazi hii nzuri,endelea na kuandika bwana. Reply Idd Athumani on March 6, 2014 at 8:45 am Kazi yako inavutia sana, endelea kuelimisha usichoke. Reply akaka on March 7, 2014 at 8:50 pm well done Reply ndaki mussa on March 10, 2014 at 10:24 pm high wark Reply yusuph on March 11, 2014 at 9:23 am saf Reply mbasyoula amos on March 11, 2014 at 3:10 pm walimu tutembelee mitandaoni c kwenye starehe tujfunze mambo meng tlomis vyuon Reply MAKIDONAL on March 13, 2014 at 4:08 pm ASANTE SANA KWA KUNIONESHA NISIYOYAFAHAMU Reply wambura Egina on March 24, 2014 at 9:32 am endelea kutuelekeza mwl. Reply Devis Filex on March 28, 2014 at 6:00 pm wadau mungu pekee atawalipa kwa mchango wenu mkubwa katika tasnia nzima ya elimu Reply Maubes Chinae on March 29, 2014 at 3:55 am Iko pouwa thana iyo kitu! inatusave hapa BUTIMBA TTC Mwanza! Reply jafari hamisi nyallu on April 1, 2014 at 7:14 pm asante kwa makala nzur Reply sheltiely dillu on April 14, 2014 at 4:35 pm hakika umejitaidi katika kumjenga mwalimu Reply sheltiely dillu on April 14, 2014 at 4:36 pm asante sana Reply Brighton Mulokozi on April 23, 2014 at 10:00 am Kweli nimejifunza mambo mengi kutokana na uwasilishwaji wa mada husika, Ualimu sio tu kushika chaki na kufundisha bali ni kufuata utaratibu mzima wa ufundishaji na ujifunzaji. Asante sana kwa somo lako endelea na kuwa na moyo wa kuelimisha jamii ili tuweze kuboresha elimu yetu kazi njema. Reply Renatus R. Joseph on April 28, 2014 at 8:30 pm Kiujumla mchango wenu umetusaidia sana na kupitia juhudi zenu naamini paper la mwaka huu destinction zitakuwa nyingi I believe tena ndani ya kipindi hiki cha BRN Reply IBRA MIHURI on April 29, 2014 at 8:40 am Yaaan unatusaidia sana walimu wanachuo Mung akubarik sana. Mtwara T.t.t.c wanakukubali, Reply zakiyah on April 30, 2014 at 10:42 am hellow Reply Biton james on May 9, 2014 at 1:33 am Huwa napata utata katika kuandika lengo kuu/jumla katika andalio la somo,tunachukua kama yalivyo kwenye muhtasar na azimio la kazi? Na kama tunachukua kama yalivyo tunaandikaje kwenye andalio la somo? Reply jackson msasa on May 18, 2014 at 9:59 am thanks its sufficient notes Reply nicodemas kagombora on May 22, 2014 at 10:49 am good material Reply Emmanuel johanes(muru tc 2013/2015) on May 24, 2014 at 3:07 am Pongezi kwako madam ufahamu wako ni wa juu ,ujumbe mambo mazuri mtandaoni. Reply Vincent randy on May 27, 2014 at 9:26 pm Bila shaka nawapa kongole wapendwa wa lugha. Reply vitus adam on June 5, 2014 at 8:16 am Nashukuru Nimejikumbusha Kitu Kupitia Wewe Reply Riziki Magea on June 6, 2014 at 7:42 pm Asante sana kwa kukazia maarifa katika taaluma yetu ya ualimu, Mungu akubariki. Reply Tito Vitus on June 13, 2014 at 1:40 am Asante Reply Doreene Achieng on June 14, 2014 at 11:58 am hongera kwa kazi nzuri. Reply GMAIL on June 16, 2014 at 11:45 am Kanzi nzuri endelea Reply EZEKIEL MLIGO on June 25, 2014 at 11:59 am ASANTE SANA Reply noel chimwaga on June 30, 2014 at 9:25 pm nimefurahia Reply PHILIPO E MELLA on July 5, 2014 at 9:06 am Asante sana kwa msada wako, nimejifunza vyema sana, kutoka katika somo hili, barikiwa mpendwa. Reply PHILIPO E MELLA on July 5, 2014 at 9:08 am SHUKRANI ZIKUFIKIE Reply steve adam on July 7, 2014 at 7:40 pm pamoja madam endelea na moyo huohuo. Reply shamy rama on August 28, 2014 at 8:10 am nashukuru kwn nlikua na tatzo kweny kumbukumbu za somo Reply Rajabu juma on September 15, 2014 at 3:17 pm Nice work Reply Peter musiba on September 19, 2014 at 5:57 am Gud. Reply John Kawago on September 29, 2014 at 1:06 pm vizuri sana nimejifunza mengi ya muhimu Reply chacha nyaminochi mosimbete on October 8, 2014 at 3:12 pm mimi nimekubali kwa mfunzo nilio pata kutoka katika mada hii ya ufundishaji naujifunzaji mwalimu taraj ri2014 Reply joseph iligo on October 26, 2014 at 10:49 am kutoka njombe mwl franz t.t.c ni mwl JOSEPH ILIGO. Shukrani kwa wazazi wako wapendw na mwenyez Mung kwa kukpa moyo wa utii wa kipaji chako.axante madam kwa mchango wako mkubwa kwng natmia notex zako hapa chuoni Mungu akubaliki sana na akpe maixh maref xna Reply Mohammed Mrutu on November 4, 2014 at 10:48 am Hongera mama kazi nzuri Reply CATHERINE KILUNDO on November 16, 2014 at 8:22 pm Nimependa sana somo lako hakika linanisaidia ktk masomo yangu fika mbele zaidi na Mungu akupiganie.BUSTANI TEACHERS COLLEGE Reply PATRICK PATSON. on December 14, 2014 at 2:38 pm Nzuri sana,but naomba related post. Reply furaha on December 21, 2014 at 12:13 pm kazi nzuri mungu akubariki sana Reply diana lihavi on December 29, 2014 at 6:14 pm asante.tafadhali nieleze kuhusu umuhimu wa ratiba kwa mwalimu wa kiswahili Reply clara on January 2, 2015 at 11:14 am hongera! nimejifunza Reply EMANUEL ISSACK on January 4, 2015 at 5:56 pm apo sawa ukovizur unatusaidi sana Reply JACOB ZACHARIA on April 8, 2015 at 9:42 am Nimeipenda hyo imenifungua ufahamu, mungu akutie nguvu kuwaandaa walimu bora. Reply Elias Boniphace on January 20, 2015 at 12:11 am thanx very much kazi yako ni nzuri sana nmejifunza meng Reply ROBERT MBELA on January 20, 2015 at 2:12 pm kazi nzuri xana ndugu yang Reply mathias majinge on January 22, 2015 at 11:04 am kila siku tunalalamika elimu ya tanzania imeshuka na serikal imekuwa ikilaumiwa kwa ubovu huo kumbe na walimu wana mchango mkubwa sana katika lawama hizi. ukweli ni kwamba walimu wengi wanafundisha bila kufuata mwongozo. Reply Erick jairo on January 31, 2015 at 9:09 am ndugu zangu wataalam ktk ufundishaji tumekuwa tukipewa malalamiko meng sana ktk kutekeleza suala la ufundshaji kwa kufanya makosa fulani,yatupasa tuyalekebshe kwa kusoma na kufuata vizuri mtaala~mihtasari wa somo~kuandaa azimio la kazi~kuliandaa andalio la somo~nukuu za somo na mwishowe ni zana za kufundishia na kujifunzia baada ya hapo ndo uende maeneo ya kufundishia na kuanza kazi ya kufundisha.muda ujao nitafafanua vpengele vya mtaala,muhtasar,azimio,andalio,nukuu na zana. Reply juli on February 6, 2015 at 6:27 pm hongera Reply Yohana Pj Nteminyanda on February 18, 2015 at 1:33 pm nimefrahia sana kweli umejizatiti na umezingatia maadili na mwenendo wa kazi. elimu haina mwisho Reply biubwa ally abdalla on March 17, 2015 at 2:34 pm Hongera kwa mtaalamu. Nimepata kujifunza vitu vingi ambavyo vin an saidia katika kazi yangu ya kusomesha. Reply jeophilus on March 18, 2015 at 4:23 pm ahsante sana waupendo mungu awabariki Reply Philemon Gobre on March 19, 2015 at 3:26 pm Somo nimelielewa kwa kiwango lkn naomba ufafanuzi wa MBINU YA CHANGANYA KETE katika ufundishaji Reply Philemon Gobre on March 19, 2015 at 3:28 pm Sawaaa!!!!! Reply Suleman Meshuck on April 12, 2015 at 10:23 am nashukuru sana mama endelea na moyo huohuo na mungu atakuinua zaidi Reply Linda sam on April 27, 2015 at 11:23 am ASANTENI KWAELIMU MUNAYO TOA .GOD BLESS Reply Edson Deogratias on June 1, 2015 at 12:44 pm Kazi nzuri na napata fahamu nzuri sasa ya vipengele vya Shajala ya somo. Kama mwalimu, nimekuelewa. Reply bony on July 16, 2015 at 7:56 pm jtiada zako znatunufaisha wengi hongera mama,, endelea kutupa ujuzi Reply Benard Musome on July 28, 2015 at 12:37 pm Endelea kunifunza Kiswahili Reply andrew mathias on September 26, 2015 at 4:01 pm kazi nzuri kabisa. Reply daniel ndambuki on October 3, 2015 at 11:21 am kazi nzuri Reply mwl.Abiud Hosea(Magogwa) on November 7, 2015 at 6:58 pm Nukuu nzuri sana! Reply david mwiniko on November 9, 2015 at 9:22 pm of course materials are good, please ! would you kindly send me more materials about teaching in my email? Reply marwa manyori on December 23, 2015 at 11:23 pm hatareee Reply Imani Exavery on January 12, 2016 at 9:45 am Nice Reply jimmy on March 3, 2016 at 6:18 pm nice Reply John Njuya on March 25, 2016 at 5:38 pm Kazi nzura imenisaidia kufanya kazi ya siada kuhusu silabasi Reply Suleman daniel on April 15, 2016 at 7:06 am Safi sana nimepata marifa mapya kutoka kwenye jarida hili ni vyema sana Reply Gregory Ashiundu on April 27, 2016 at 3:41 pm Nimesaidika, hongera Reply Mike on April 29, 2016 at 5:58 am shukrani sana Reply Neema Mwaipaja on May 2, 2016 at 7:49 pm Ubarikiwe Mwl kwa kaz nzuri asante kwa kutupa maarifa. Reply Sarah samla on May 17, 2016 at 11:44 pm Safi sana imeipenda hii Reply njenga loice njoki on August 2, 2016 at 5:01 pm asante sana kwa maelekezi yako Reply ngure on October 21, 2016 at 6:25 pm kazi nzuri sana,Heko Reply Joseph Njenga on November 29, 2016 at 3:55 pm kazi nzuri ijapokuwa mko wachoyo na maelezo Reply View Full Site Create a free website or blog at WordPress.com. Follow

Tags

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)
To Top