HALMASHARI YA WILAYA YA LUSHOTO
MAJINA YA WALICHAGULIWA KWENYE SENSA 2022.
Baada ya usaili uliofanyika tarehe 19/07/2022, maeneo mengi Nchini sasa imetolewa orodha ya majina ya watu waliopita kwenye usaili huo kwa kila Halmashauri. Majina ya nafasi zite ikiwa ni MAKARANI WA SENSA, WASIMAMIZI WA MAUDHUI na WASIMAMIZI WA TEHEMA.
VITUO VYA KUFANYIA SEMINA VIMEOROZESHWA HAPA, AMBAPO KATA ZAIDI YA MOJA HUKUTANA ENEO LITAKALOPENDEKEZWA KUFANYIA SENSA HIYO.
DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA CHINI.