Filmora ni Application nzuri sana ya ku Edit Videos haswa kwa Content Creators wa Youtube na wachapishaji wa makala mbalimbali za video. Hii sio Application husika bali ni File ya ku Activate Filmora Free Version kuwa Filmora Pro (Premium).
ukiwa na file hii huna haja ya kulipia tena Filmora 9.6.0.18 ambayo ni Version ya Zamani lakini bado inapokea maboresho mbalimbali kutoka kwenye matoleo mapya kama Vile Filmora X, na Filmora XI (11).
Hatua za kutumia file hili ku Activate Filmora 9.6.0.18
1. Doanload Filmora 9.6.0.18 kwenye Site yeyote ila au Hapa.....
2. Install Filmora 9.6.0.18 kwenye Computer yako na baada ya kufunguka ifunge.
3. Zima Ant-Virus yeyote uliyonayo kwenye computer yako kama hauna Ant-Virus zima Windows Defender.
4. Extract Filmora 9.6.0.18 Activation Crack file
5. Copy Crack file na Paste kwenye Filmora direction file
6. Enjoy