Karibu katika makala hii tunakwenda kujifunza masuala ya Mawasiliano. Je wewe ni miongoni mwa watu wanaohitaji kufuatilia taarifa za watu wa karibu yao kama vile Calls, Sms na Location basi hapa ndio sehemu sahihi.
Leo tunakwenda kuangalia App ya ANDROID SPY (freeandroidspy) hii ni app ambayo inakuwezesha kuweza kujua mawasiliano ya mtu wa karibu yako kama vile mke, mume, Mtoto au mtu yeyote yule.
JINSI APP HII INAVYOFANYA KAZI
Zingatia hatua zifuatazo ili kufanikisha ku install app ya spy
1. Unatakiwa kutambua kuwa app hii tunaiweka (Install) kwenye Simu ya Mhusika unayetarajia Kupata taarifa zake.
Na Simu hiyo ni lazima iwe na Android kuanzia Version ya 6 au zaidi
2. Katika Simu ya mhusika nenda kwenye App ya Play store, Gusa profile icon ili kufungua Menu ya Setting na Miongozo.
3. Ingia sehemu imeandikwa Play Protect na uzime sehemu ya Ku Scan app .
4. Gusa Icon ya Setting hapa
6, Baada ya kuzima sehemu ya Ku Scan app unapaswa kufungua kiunganishi Cha spysetup.com na Gusa sehemu ya Download Free Android Spy.
7. Baada ya app ku download ifungue na Install kwenye Simu ya mhusika
8. Ikishamaliza ku install gusa sehemu ya Open kufungua app
9. Baada ya kufungua App washa sehemu zote zenye Vi Box Kisha andika Email yako ambayo ipo hewani kwenye simu yako kwa kuirudia.
10. Baada ya kujaza taarifa zote Funga programu kwa kubonyeza sehemu ya Close na app itajificha yenyewe katika Applications zako.
Baada ya kukamilisha hatua zote unaweza kumpa mhusika simu yake na wewe nenda katika Email Box yako utaona ujumbe Mpya wenye Email,Password na Private Area
Jinsi ya kutumia
1. Gusa sehemu ya Private Area
2. Login kwa Kutumia Email yako uliyoiandikwa kwenye simu ya mhusika na Password uliyopewa.
Kufikia hatua hii utakuwa umefanikiwa kikamilifu kuwezesha huduma.